Hospitali binafsi zinaelekea kupoteza maadili ya kazi

Hospitali binafsi zinaelekea kupoteza maadili ya kazi

jjeremiah

Member
Joined
Jul 30, 2010
Posts
43
Reaction score
13
Hivi madaktari hawa wa hospitali za binafsi kwa ushauri wao wa vipimo vingi licha ya kuonyesha dalili zisizoendana ni sahihi kweli mfano una dalili za malaria unashauriwa kucheki malaria, kisukari au na choo, au dalili ni za typhoid unashauriwa kucheki ulcers na typhoid pia au mwanamke mjamzito kupigwa dripu kwa lengo la kutibu zile pregnancy sickness na mengine mengi tu yanafanyika kweli ni maadili halisi ya utabibu maana ninavyofahamu magonjwa mengi hutofautiana japo huweza kufanana kwa kiasi kidogo.
 
Back
Top Bottom