Hospitali bora zilizoko Dar es salaam

Hospitali bora zilizoko Dar es salaam

Good Father

JF-Expert Member
Joined
Feb 28, 2014
Posts
10,321
Reaction score
18,574
Habari zenu ndugu wanajf
Naomba msaada wa kujua hospitali bora zilizoko jijini Da es salaam na maeneo zilipo ndani ya Da es salaam.
Naombeni msaada wenu tafadha, nikipata kuzijua 10 zinatosha.
 
Kama hutajali taja tatizo lako ili usaidiwe cos kila hospital ina sifa zake katika tatizo Fulani...i mean kuna doctor anakuwa bora zaidi kwa tatizo Fulani utakuta yupo hospital Fulani etc.
 
Kama hutajali taja tatizo lako ili usaidiwe cos kila hospital ina sifa zake katika tatizo Fulani...i mean kuna doctor anakuwa bora zaidi kwa tatizo Fulani utakuta yupo hospital Fulani etc.

Kuna wageni nategemea kuwapata wanatoka nje ya Tanzania hivyo walihitaji dondoo za huduma za afya hapa Dar ila nilishindwa kuwaambia kama hiyo kazi ni ngumu kidogo kwa kuwa hao wageni wananihusu na mimi pia.
 
Aga Khan Hosp-Upanga
Hindu Mandal Hosp-Upanga
Muhimbili National Hosp-Upanga
TMJ Hosp-Mikocheni
Mikocheni/Dr Karairuki Hosp-Upanga
Dr's at MASAKI-Masaki
AMI Hosp-Masaki
Lugalo Hosp-Lugalo
Tumaini Hosp-Upanga
AAR City Centre-Upanga
Oysterbay Hosp-Oysterbay
 
Aga Khan Hosp-Upanga
Hindu Mandal Hosp-Upanga
Muhimbili National Hosp-Upanga
TMJ Hosp-Mikocheni
Mikocheni/Dr Karairuki Hosp-Upanga
Dr's at MASAKI-Masaki
AMI Hosp-Masaki
Lugalo Hosp-Lugalo
Tumaini Hosp-Upanga
AAR City Centre-Upanga
Oysterbay Hosp-Oysterbay

Umempa msaada very useful
 
Aga Khan Hosp-Upanga
Hindu Mandal Hosp-Upanga
Muhimbili National Hosp-Upanga
TMJ Hosp-Mikocheni
Mikocheni/Dr Karairuki Hosp-Upanga
Dr's at MASAKI-Masaki
AMI Hosp-Masaki
Lugalo Hosp-Lugalo
Tumaini Hosp-Upanga
AAR City Centre-Upanga
Oysterbay Hosp-Oysterbay
regency upanga na trauma centre masaki.
 
Aga Khan Hosp-Upanga
Hindu Mandal Hosp-Upanga
Muhimbili National Hosp-Upanga
TMJ Hosp-Mikocheni
Mikocheni/Dr Karairuki Hosp-Upanga
Dr's at MASAKI-Masaki
AMI Hosp-Masaki
Lugalo Hosp-Lugalo
Tumaini Hosp-Upanga
AAR City Centre-Upanga
Oysterbay Hosp-Oysterbay

Asante sana mkuu
 
Mbona dar na Tz hakuna hosputali hata moja zote hizo ulizo mtajia ni vituo vya afya hazina hata department zinzo jitosheleza.

Anzisha ya kwako basi iliyo jitosheleza.
 
Aga Khan Hosp-Upanga
Hindu Mandal Hosp-Upanga
Muhimbili National Hosp-Upanga
TMJ Hosp-Mikocheni
Mikocheni/Dr Karairuki Hosp-Upanga
Dr's at MASAKI-Masaki
AMI Hosp-Masaki
Lugalo Hosp-Lugalo
Tumaini Hosp-Upanga
AAR City Centre-Upanga
Oysterbay Hosp-Oysterbay

Tumaini nayo ni hosp bora? Ndugu yangu ukitaka kuaibika wapeleke wageni wako tumaini..utajuta!
 
Hahahahahaaaaaaaaa! The best hospital is the patient's self attitudes towards own health. Hata daktari wa kweli atataka kusikia kwanza kutoka kwako jinsi ulivyojifikiria au kujihisi au kujitambua kuhusu afya yako. Maeneo yanayoitwa Hospitali ni vituo vya watu wenye taaluma ya kuhudumia afya za watu hao, kwa sababu the patient is the best doctor mwenyewe. patamu hapo!
 
Aga Khan Hosp-Upanga
Hindu Mandal Hosp-Upanga
Muhimbili National Hosp-Upanga
TMJ Hosp-Mikocheni
Mikocheni/Dr Karairuki Hosp-Upanga
Dr's at MASAKI-Masaki
AMI Hosp-Masaki
Lugalo Hosp-Lugalo
Tumaini Hosp-Upanga
AAR City Centre-Upanga
Oysterbay Hosp-Oysterbay
mind your location
 
Hahahahahaaaaaaaaa! The best hospital is the patient's self attitudes towards own health. Hata daktari wa kweli atataka kusikia kwanza kutoka kwako jinsi ulivyojifikiria au kujihisi au kujitambua kuhusu afya yako. Maeneo yanayoitwa Hospitali ni vituo vya watu wenye taaluma ya kuhudumia afya za watu hao, kwa sababu the patient is the best doctor mwenyewe. patamu hapo!

hapo kwenye red nimepapenda sana mkuu!
 
Back
Top Bottom