Bakulutu
JF-Expert Member
- Nov 30, 2011
- 2,557
- 1,787
Habari waheshimiwa!
Nina tatizo la kifua la muda mrefu saaana, nimekwenda hindu mandari lakin kila Dr. anasema lake, mara na dalili za pumu, huyu anasema na dalili za "Nimonia" sasa nataka kubadilisha hospitali ili niweze kupata majibu sahihi.
UGONJWA WANGU UKOJE
Nimekuwa na patwa na kifua kikali nyakati za usiku TUU, nakohoa kikohozi kile kinacho toa sauti kubwa kikiambatana na makohozi, mara nyingi yanakuwa ya maji na wakati fulani yankuwa ya yakawaida, KIFUA KINATOA SAUTI KAMA MILUZI NA MKOROMO kikiambatana na maumivu makali.
Nlisha fanya xray kama mara 3 lakini wanasema kila kitu ni sawa.
ASANTENI