Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Agakhan na Hindu MandalHabari wapendwa. Naomba mtu anaefahamu hospitali inayotoa huduma ya vipimo vya homoni anitajie ili niweze kupata msaada wa tatizo langu. Pia naomba kufahamu kama hiyo hospital inatumia bima ya NHIF. Natanguliza shukurani.
Hospitali zote kubwa au za RUFAA iwe binafsi au ya serikali.Habari wapendwa. Naomba mtu anaefahamu hospitali inayotoa huduma ya vipimo vya homoni anitajie ili niweze kupata msaada wa tatizo langu. Pia naomba kufahamu kama hiyo hospital inatumia bima ya NHIF. Natanguliza shukurani.
Hospitali zote za serikali ila ni vizuri kuanzia ngazi ya mkoa,kama uko dar,nenda muhimbili au ocean road