Habari wapendwa. Naomba mtu anaefahamu hospitali inayotoa huduma ya vipimo vya homoni anitajie ili niweze kupata msaada wa tatizo langu. Pia naomba kufahamu kama hiyo hospital inatumia bima ya NHIF. Natanguliza shukurani.