Mulhat Mpunga
JF-Expert Member
- Oct 28, 2010
- 27,256
- 16,317
HABARI JF DOCTORS naomba kwa anayefahamu hospital hapa dar es salaam inayotoa miwani za macho kwa kupitia card za bima ya taifa NHIF tafadhali........ nina uhitaji wa haraka
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Call 0620436634HABARI JF DOCTORS naomba kwa anayefahamu hospital hapa dar es salaam inayotoa miwani za macho kwa kupitia card za bima ya taifa NHIF tafadhali........ nina uhitaji wa haraka
Call 0620436634
Unaweza ukatos maelezo kidogo?Call 0620436634
huyu achana naye nimempigia kwa simu ya ofisi na wameniunganisha ananimbia nimpigie na simu yangu ya mkononi hana lolote tena yupo kwenye bodabodaUnaweza ukatos maelezo kidogo?
wewe nakupigia na namba ya ofisi unaniambia mambo ya ajabu ajabu nikupigie na simu yangu try to be serious dumb fool ... sijapendezwa na tabia za kipuuz kama hizi mchewwwCall 0620436634
Mkuu pole sana. My boy wa less than 5 yrs nilimpeleka MNH, alikuwa na shida ya macho! Huduma zote walikubali NHIF Card isipokuwa Miwani. Nikilipa cash.HABARI JF DOCTORS naomba kwa anayefahamu hospital hapa dar es salaam inayotoa miwani za macho kwa kupitia card za bima ya taifa NHIF tafadhali........ nina uhitaji wa haraka
Kwani ofisi ndo ina shida ya macho? Tumia simu yako jamaa anatafuta mchepuko kwa hongo ya miwanihuyu achana naye nimempigia kwa simu ya ofisi na wameniunganisha ananimbia nimpigie na simu yangu ya mkononi hana lolote tena yupo kwenye bodaboda
oh hata private pia? mawani imevunjika ghafla dah kazi ipoMkuu pole sana. My boy wa less than 5 yrs nilimpeleka MNH, alikuwa na shida ya macho! Huduma zote walikubali NHIF Card isipokuwa Miwani. Nikilipa cash.
Sidhani kama NHiF wanacover gharama za miwani. Hapo ni kuingia mfukoni tuwewe nakupigia na namba ya ofisi unaniambia mambo ya ajabu ajabu nikupigie na simu yangu try to be serious dumb fool ... sijapendezwa na tabia za kipuuz kama hizi mchewww
Kwani ofisi ndo ina shida ya macho? Tumia simu yako jamaa anatafuta mchepuko kwa hongo ya miwani
Ndo lengo lake sasa kama hujui. Anataka namba yako ili baadae ajaribu bahati yakeno thanks swala ni mawasiliano na naumwa mambo yake ya kik...ma apeleke hukoo
sawa..althought hapa nishapata majibu kuwa pale Rabininsia wanatoa miwani japo sio za aina zote so nitaanza nao kisha nitafanya mambo mengineSidhani kama NHiF wanacover gharama za miwani. Hapo ni kuingia mfukoni tu
ndo akafie mbele atakuwa dereva bodaboda maana hata ongea yake kichwa kinaelekea ni kitupuNdo lengo lake sasa kama hujui. Anataka namba yako ili baadae ajaribu bahati yake
Kilala kheri, na pole sana.sawa..althought hapa nishapata majibu kuwa pale rabininsia wanatoa miwani japo sio za aina zote so nitaanza nao kisha nitafanya mambo mengine
ok nao wana foleni dunia ya katikati nataka ya kawaida pekee thenks thoughCCBRT Wanatoa ila kunaka utaratibu wa kibali kutoka ofisi za NHIF. pia kuna kiwango cha bei ya mwisho ya miwani. Ukitaka ya bei ya juu inabidi uongezee hela
tanksKilala kheri, na pole sana.