Hospitali gani inatoa miwani kupitia bima ya afya ya NHIF?

Mulhat Mpunga

JF-Expert Member
Joined
Oct 28, 2010
Posts
27,256
Reaction score
16,317
HABARI JF DOCTORS naomba kwa anayefahamu hospital hapa dar es salaam inayotoa miwani za macho kwa kupitia card za bima ya taifa NHIF tafadhali........ nina uhitaji wa haraka
 
HABARI JF DOCTORS naomba kwa anayefahamu hospital hapa dar es salaam inayotoa miwani za macho kwa kupitia card za bima ya taifa NHIF tafadhali........ nina uhitaji wa haraka
Mkuu pole sana. My boy wa less than 5 yrs nilimpeleka MNH, alikuwa na shida ya macho! Huduma zote walikubali NHIF Card isipokuwa Miwani. Nikilipa cash.
 
huyu achana naye nimempigia kwa simu ya ofisi na wameniunganisha ananimbia nimpigie na simu yangu ya mkononi hana lolote tena yupo kwenye bodaboda
Kwani ofisi ndo ina shida ya macho? Tumia simu yako jamaa anatafuta mchepuko kwa hongo ya miwani
 
Mkuu pole sana. My boy wa less than 5 yrs nilimpeleka MNH, alikuwa na shida ya macho! Huduma zote walikubali NHIF Card isipokuwa Miwani. Nikilipa cash.
oh hata private pia? mawani imevunjika ghafla dah kazi ipo
 
wewe nakupigia na namba ya ofisi unaniambia mambo ya ajabu ajabu nikupigie na simu yangu try to be serious dumb fool ... sijapendezwa na tabia za kipuuz kama hizi mchewww
Sidhani kama NHiF wanacover gharama za miwani. Hapo ni kuingia mfukoni tu
 
Kwa policy ya NHIF miwani anapata principal member tu na ni miwani ya kusomea yenye thamani ya 20,000 tu.
 
Sidhani kama NHiF wanacover gharama za miwani. Hapo ni kuingia mfukoni tu
sawa..althought hapa nishapata majibu kuwa pale Rabininsia wanatoa miwani japo sio za aina zote so nitaanza nao kisha nitafanya mambo mengine
 
CCBRT Wanatoa ila kunaka utaratibu wa kibali kutoka ofisi za NHIF. pia kuna kiwango cha bei ya mwisho ya miwani. Ukitaka ya bei ya juu inabidi uongezee hela
 
CCBRT Wanatoa ila kunaka utaratibu wa kibali kutoka ofisi za NHIF. pia kuna kiwango cha bei ya mwisho ya miwani. Ukitaka ya bei ya juu inabidi uongezee hela
ok nao wana foleni dunia ya katikati nataka ya kawaida pekee thenks though
 
Acha ubahil bro pima miwani kachague frem nzuri uvae miwani upendeze.sio unavaa miwani kama ya bibi vizee kila mtu anajua unaumwa macho
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…