Helow wadau!!! Nawasalimu nyote:::
Hv ni hospital ipi kuna madaktar bingwa ya wanawake !! Nina shida
Pia kwa mtu anaye jua watu wanaojiita " neolife health! Pia naomba anailekeze!!!
Nisaidie jamn nadhalilika mwenzenu
Sent using
Jamii Forums mobile app