Asante kwa kunitiaoyoCha msingi kupona tu kuogopa kuchanwa au makovu visikutishe na hata hivyo siku hizi mabadiliko ni makubwa hata ukichanwa hawachani sehemu kubwa sana usiogope
Pole sana lakini Mungu akusaidie operation iende salama na upone kabisa