Hospitali gani nzuri kwa matatizo ya macho?

Wakuu, habari za Muda huu, Naomba kusaidiwa mada tajwa hapo juu, Kwamba ni hospital gani yenye maspecialists wazuri na wana vifaa vizuri Kwa hapa bongo?
Kama hutojali nenda Mawenzi Moshi hutojutia.
 
Kwa Morogoro Anayejua Hospital Nzuri Kwa Shida Ya Macho Hasa Kutoa Machozi Na Kuuma Maana Anayesumbuliwa Ni Mwanafunzi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…