Hospitali gani wanafanya root canal kwa ustadi wa juu

Meneja Wa Makampuni

JF-Expert Member
Joined
Jul 7, 2020
Posts
7,899
Reaction score
10,415
Habari wakubwa,
Mdogo wangu meno yake mawili ya mbele ni marefu kuliko mengine.

Anahitaji kufanya root canal ili yawe vizuri.

Ni hospitali gani nzuri kwa hii huduma na gharama zina range kwenye ngapi?
 
Regency Hospital, that time ila kwa sasa sijui.
 
Habari wakubwa,
Mdogo wangu meno yake mawili ya mbele ni marefu kuliko mengine.

Anahitaji kufanya root canal ili yawe vizuri.

Ni hospitali gani nzuri kwa hii huduma na gharama zina range kwenye ngapi?
we unauliza una umri gani? maana hujui unachouliza ila kwa kukusaidia nenda Muhimbili kitengo cha meno ukiingia tu getini mkono wa kulia uwahi mapema sana maana huwa kuna foleni
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaah
 
we unauliza una umri gani? maana hujui unachouliza ila kwa kukusaidia nenda Muhimbili kitengo cha meno ukiingia tu getini mkono wa kulia uwahi mapema sana maana huwa kuna foleni
Sasa si ueleze tiba inayo hitajika
 
Habari wakubwa,
Mdogo wangu meno yake mawili ya mbele ni marefu kuliko mengine.

Anahitaji kufanya root canal ili yawe vizuri.

Ni hospitali gani nzuri kwa hii huduma na gharama zina range kwenye ngapi?
Muhimbili fast track. Kule orofani, kule chini naona wanafunzi wengi wana practice,na foleni ndefu. Niliweka meno ya mbele bandia 4 yako vizuri na nakula miwa n.k bila shida.
 
Hiyo hela ya kwenda kuchonga hayo meno ni bora unipe mimi nikale kuku muda huu na venye nina upwiru wa kuku.

Hivi kuwa na mijino mirefu ni tatizo? Mbona mnateseka sana!

Nani kakwambia jino lazima liwe fupi? ili iweje? unataka kuwa na meno mafupi kwani wewe ni SUNGURA?

Anyway, ni maamuzi yako, lakini huko utaenda kujitafutia matatizo mengine mazito ya FIZI, meno kukwanguliwa, ganzi kwenye meno na mengine mengi.

Nakushauri achana na hilo jambo. ACHA.

Cc: Lamomy mshamba_mwingine
 
Back
Top Bottom