kipindupindu
JF-Expert Member
- Dec 16, 2010
- 1,053
- 170
Kwa wakazi wa arusha watakua wanaifahamu vizuri hospitali ya seliani town clinic.ina sifa ya kuwa na vifaa vizuri na wahudumu wakarimu, lakini ina dosari ifuatayo;
huduma zake ni za bei ya juu mno,hili linaweza kuwa si hoja bali ubaya wa hospitali hii wakishakula hela za mgonjwa na kuhakikisha mfuko wake umekwisha humpeleka kum-damp katika tawi lao la kijijini.
Inaelekea hawapendi kukaa na mgonjwa aliye kwenye final stage!inaelekea mnathamini mgonjwa mwenye fedha na mara zinapokwisha basi mnamfanya ni kikaragosi.
Jirekebisheni kwani huu sio ubinadamu!