uwesuporoto
Senior Member
- Jun 2, 2017
- 116
- 58
Ni baada ya kupigwa sindano nane kwa wiki 4 bado tatizo lipo na ndio kwanza linazidi tatizo lipo hivi;-
Nibaada ya kutembea na duu mmoja hivi kama miezi mitatu iliyopita nikaanza kusikia muwasho wa ndani ya mdomo wa uume.
Nikatatufuta ushauri nikaambiwa nitumie azuma nazo haziku saidia nikaenda hospitali.
Dokta akaniandikia dawa sikumbuki jina lake ila linaanza kama na phy tatizo likatulia na likaibuka tatizo lingine hili tatizo lilianza kama na kijeraha kwenye kichwa cha uume jeraha ambalo wala haliwashi wala halina maumivu ni kama kidonda hivi.
Baada ya siku kazaa vikawa viwili kabla ya hivi kupona kikatokea kipele juu ya shingo ya uume yaani pale pale kwenye kona kwa juu tu kidogo hiki kipele kilianza na kangi nyeusi baada ya hapo kikabailika kama kimeiva hivi.
Shida ya hiki kipele kinawasha sana na huwa najisikia raha kukikuna na kila ninapo kikuna kina lazimisha nikikune zaidi na zaidi na sasa hivi ninvyosema vipo kama vinne na hospitali ndo kama hivyo nimemaliza sindano ya nane wiki iliyopita bila ya mafanikio dokta alisema ni kaswende. Je nifanye nn??