Hospitali imeshindwa kutibia tatizo langu

Kaswende huwa ina stages zake. Lakini kwa maelezo yako inaonesha upo stage ya kwanza na kwa matibabu ulopewa yanaonesha kukinzana na stage ulonayo.

Nasema ivo kwa sabab kaswende ikiwa stage ya kwanza huwa inatibika kwa sindano moja tuu ya Penicillin, na hiyo ni km maambukizi yana chini ya mwaka.

Km kaswende yako ina zaidi ya mwaka basi sindano moja haitoshi kutibu hilo tatzo. Kwa io inawezekana maambukizi yako yana muda mrefu sema ulikuwa hujijui.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…