Wana Jf naomba msaada wa Hospitali inayoweza kutibu kidonda cha mgonjwa wa Kisukari. Nina ndugu yangu ana ugonjwa wa kisukari na ana kidonda mguuni ambacho hakiponi
Kama upo Dar nenda kwa Dr Abbas maeneo ya fire. Ukitokea magomeni ingia kulia pale kwenye mataa ya fire nenda moja kwa moja. Hebu angalia hii link ina map kufika Abbas Medical Center. Abbas Medical Centre