Hospitali ipi, ina huduma/ tiba ya mionzi ukiachana na hospitali ya Oceanroad kwa Tanzania?

Equation x

JF-Expert Member
Joined
Sep 3, 2017
Posts
33,679
Reaction score
49,841
Hospitali ipi,ina huduma/ tiba ya mionzi ukiachana na hospitali ya Oceanroad kwa Tanzania?
Kuna mgonjwa wangu ameenda hapo kwa ajili ya tiba, tangu saa 12 asubuhi mpaka muda huu hajapata huduma; akiuliza tatizo, jibu ni mashine ni mbovu.
 
Kwa Tanzania mpaka sasa hakuna mahali pengine. Tiba ya saratani kwa mionzi ipo Ocean road tu.
 
Sio Kweli.
Sio kila saratani inatibika kwa mionzi nyingine zinatibika kwa Dawa ambazo ni anti Cancer, kulingana na stage ya ugonjwa.

Pia sio kweli kwamba Mionzi inatolewa ORCI tu, kwa mfano Kuna Besta Polyclinic iko Nyuma ya Ubalozi wa Ufaransa, njia ya kuelekea 'Leaders' club kutokea kinondoni makaburini.
 
Hospitali ipi,ina huduma/ tiba ya mionzi ukiachana na hospitali ya Oceanroad kwa Tanzania?
Kuna mgonjwa wangu ameenda hapo kwa ajili ya tiba, tangu saa 12 asubuhi mpaka muda huu hajapata huduma; akiuliza tatizo, jibu ni mashine ni mbovu.

Nimetoa mfano wa hospitali wanapotoa Radiotherapy na Chenotherapy hapo juu
 
Sio Kweli.
Sio kila saratani inatibika kwa mionzi nyingine zinatibika kwa Dawa ambazo ni anti Cancer, kulingana na stage ya ugonjwa.

Pia sio kweli kwamba Mionzi inatolewa ORCI tu, kwa mfano Kuna Besta Polyclinic iko Nyuma ya Ubalozi wa Ufanya, njia ya kuelekea Leader club kutokea kinondoni makaburini.
Asante sana mkuu
 
Hospitali ipi,ina huduma/ tiba ya mionzi ukiachana na hospitali ya Oceanroad kwa Tanzania?
Kuna mgonjwa wangu ameenda hapo kwa ajili ya tiba, tangu saa 12 asubuhi mpaka muda huu hajapata huduma; akiuliza tatizo, jibu ni mashine ni mbovu.
Aghakhan, Besta, Bugando, Na kuna Cancer center niliskia imefunguliwa Morogoro lakini nimesahau jina
 
Back
Top Bottom