Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 33,679
- 49,841
Hatari sanaKwa Tanzania mpaka sasa hakuna mahali pengine. Tiba ya saratani kwa mionzi ipo Ocean road tu.
Sio Kweli.Kwa Tanzania mpaka sasa hakuna mahali pengine. Tiba ya saratani kwa mionzi ipo Ocean road tu.
Hospitali ipi,ina huduma/ tiba ya mionzi ukiachana na hospitali ya Oceanroad kwa Tanzania?
Kuna mgonjwa wangu ameenda hapo kwa ajili ya tiba, tangu saa 12 asubuhi mpaka muda huu hajapata huduma; akiuliza tatizo, jibu ni mashine ni mbovu.
Asante sana mkuuSio Kweli.
Sio kila saratani inatibika kwa mionzi nyingine zinatibika kwa Dawa ambazo ni anti Cancer, kulingana na stage ya ugonjwa.
Pia sio kweli kwamba Mionzi inatolewa ORCI tu, kwa mfano Kuna Besta Polyclinic iko Nyuma ya Ubalozi wa Ufanya, njia ya kuelekea Leader club kutokea kinondoni makaburini.
Nimetoa mfano wa hospitali wanapotoa Radiotherapy na Chenotherapy hapo juu
Aghakhan, Besta, Bugando, Na kuna Cancer center niliskia imefunguliwa Morogoro lakini nimesahau jinaHospitali ipi,ina huduma/ tiba ya mionzi ukiachana na hospitali ya Oceanroad kwa Tanzania?
Kuna mgonjwa wangu ameenda hapo kwa ajili ya tiba, tangu saa 12 asubuhi mpaka muda huu hajapata huduma; akiuliza tatizo, jibu ni mashine ni mbovu.
Good samarittan Cancer Hospital-ipo Ifakara Morogoro nao wana Radiotherapy machine ya kisasa kabisa.Aghakhan, Besta, Bugando, Na kuna Cancer center niliskia imefunguliwa Morogoro lakini nimesahau jina
Ya Morogoro inaitwa Good SamaritanAghakhan, Besta, Bugando, Na kuna Cancer center niliskia imefunguliwa Morogoro lakini nimesahau jina