Hospitali ipi ninaweza kumfanyia kipimo cha EEG test kwa Tanzania, mwanangu anasumbuliwa na degedege

Hospitali ipi ninaweza kumfanyia kipimo cha EEG test kwa Tanzania, mwanangu anasumbuliwa na degedege

Crystal field theory

JF-Expert Member
Joined
Sep 16, 2014
Posts
940
Reaction score
401
Wakuu habari,

Nilipata ushauri kufanya hiko kipimo(EEG TEST) kulingana na kadhia ya mwanangu, naomba kupatiwa jina la hospitali nitakayompeleka kwaajili ya hiko kipimo maana Anayo bima ya afya(NHIF).

Mbarikiwe
 
Wakuu habari,

Nilipata ushauri kufanya hiko kipimo(EEG TEST) kulingana na kadhia ya mwanangu, naomba kupatiwa jina la hospitali nitakayo mpeleka kwaajili ya hiko kipimo maana Anayo bima ya afya(NHIF).

Mbarikiwe
Hindu Mandal, Regency, Tumaini na Muhimbili.
 
Wakuu habari,

Nilipata ushauri kufanya hiko kipimo(EEG TEST) kulingana na kadhia ya mwanangu, naomba kupatiwa jina la hospitali nitakayo mpeleka kwaajili ya hiko kipimo maana Anayo bima ya afya(NHIF).

Mbarikiwe
Piga hizo Ulizia CCBRT 0699 990000 au RABININSIA HOSPITAL 0757 685894
 
Back
Top Bottom