stickvibration
JF-Expert Member
- Feb 7, 2017
- 3,226
- 5,147
HabariHospitali kubwa na ya Kisasa ya chuo kikuu cha Afya na Sayansi Shirikishi Muhimbili (MAMC) kufunguliwa na rais DK Magufuli mwezi ujao.Hospitali hii ipo Kibamba, Mloganzila, jijini Dar Es Salaam. Inategemewa kupunguza safari za watanzania kupata huduma za afya nje ya nchi. Ina huduma za kisasa za dharula(Emergency Medicine) Huduma za kisasa za uchunguzi wa Magonjwa (Maabara, Radiolojia) na Huduma za Upasuaji za Kisasa.HABARI/UPDATES KATIKA PICHA