stickvibration
JF-Expert Member
- Feb 7, 2017
- 3,226
- 5,147
Kwel mkuumbona hizo picha hazina uhalisia
Hizo ni jitihada za Kikwete,yafaa ipewe jina lakeHabariHospitali kubwa na ya Kisasa ya chuo kikuu cha Afya na Sayansi Shirikishi Muhimbili (MAMC) kufunguliwa na rais DK Magufuli mwezi ujao.Hospitali hii ipo Kibamba, Mloganzila, jijini Dar Es Salaam. Inategemewa kupunguza safari za watanzania kupata huduma za afya nje ya nchi. Ina huduma za kisasa za dharula(Emergency Medicine) Huduma za kisasa za uchunguzi wa Magonjwa (Maabara, Radiolojia) na Huduma za Upasuaji za Kisasa.HABARI/UPDATES KATIKA PICHA
Kwani ni uongo?Siku ya ufunguzi licha ya kusema ameongeza bajeti ya afya (hii yeye na waziri wake wanarudia kila uchao) lazima atatoa neno la shombo kama kawaida