Hospitali na wodi ya wazee

Hospitali na wodi ya wazee

Mtanzania Mnyonge22

Senior Member
Joined
Sep 2, 2022
Posts
125
Reaction score
455
Habari Wakuu,

Heri ya Christmas na Mwaka Mpya! Naomba kufahamishwa Hospitali na Wodi ambazo kuna Wagonjwa “WAZEE” (Jinsia Yoyote) ndani ya DAR-ES-SALAAM au Ukanda wa Pwani ili niwatembelee na kuwapa Sadaka.

Asante🙏🏼
 
Kuna mzee namjua anaishi mbande ni mgonjwa na hana msaada wowote Yuko na mkewe tuu majirani ndo wanamsaidia katika vitu vidogo vidogo hakika anahitaji msaada haswa maana hajiwezi kwa lolote ni wa kitandani tuu japo anazungumza kama utaguswa mshike mkono.
 
Sorry ndio naona msg yako Leo. Nimekutumia msg PM nasubiria majibu. Thanks
 
Back
Top Bottom