Heri ya Christmas na Mwaka Mpya! Naomba kufahamishwa Hospitali na Wodi ambazo kuna Wagonjwa “WAZEE” (Jinsia Yoyote) ndani ya DAR-ES-SALAAM au Ukanda wa Pwani ili niwatembelee na kuwapa Sadaka.
Kuna mzee namjua anaishi mbande ni mgonjwa na hana msaada wowote Yuko na mkewe tuu majirani ndo wanamsaidia katika vitu vidogo vidogo hakika anahitaji msaada haswa maana hajiwezi kwa lolote ni wa kitandani tuu japo anazungumza kama utaguswa mshike mkono.