Huu ni ushauri katika Hospitali zetu waongezwe wataalamu ambao wataweza kufanya huduma bora za kuvisha meno yenye tundu kofia za silva ili kuepuka usumbufu katika utafunaji.
Kumekuwa na changamoto hii ambapo muda mwengine kung'oa kunasababisha kupoteza muonekano mzuri wa kinywa.
Jambo jema kabisa hilo , na garama pia zipunguwe kwakweli nilikwenda hospital moja wakaniambia kuweka kale kakofia juu ya jino sio kuziba ni sh 1.2 ml kwa meno 3 yamevunjika duh!
Jambo jema kabisa hilo , na garama pia zipunguwe kwakweli nilikwenda hospital moja wakaniambia kuweka kale kakofia juu ya jino sio kuziba ni sh 1.2 ml kwa meno 3 yamevunjika duh!