mkuu asante sana kwa ushauri!Kwanza pole kwa maradhi mkuu,sina uhakika sana ila nachojua mimi kwa Dar hakuna hospital isiyokuwa na foleni muhimu ni kuwahi tu,kawaida huwa naenda Muhimbili NHIF wana kitengo chao huduma zao ni nzuri sana...Regency ni wazuri sana but nao foleni yao ni balaa.
Agakhan hawatumii NHIF,mkuu asante sana kwa ushauri!
kuna mdau ananipm niende Agakhan vp mkuu hii una ABCs zake!
Agakhan anatumia Jubileemkuu asante sana kwa ushauri!
kuna mdau ananipm niende Agakhan vp mkuu hii una ABCs zake!
Wapendwa wanajamvi umofia kwenu!!!!!
mimi ni mgonjwa naishi nje ya Dar! napenda kujua ni hospital gani iliyopo DAR ambayo naweza pata huduma nzuri kitengo cha njia ya mkojo na uzazi (urology)!
ninatumia bima ya NHIF brown kadi! hivyo kuhusu gharama sina shaka!
mwanzo niliwaza Mhimbili lakin naogopa foleni na pia likizo yangu inaelekea kuisha nirudi kazin.
naombeni msaada wakuu!
Muhimbili na Tumaini hospital. Yuko vizuri sana.Yupo hospital ipi mkuu;;?
Pleasure.Thanx mkuu