Hospitali nzuri mwanza

Tip Master

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2011
Posts
505
Reaction score
560
Kwanza napenda kuwapongeza wana JF kwa roho safi ya kutoa msaada pasipo shuruti yoyote hile.

Mimi nina shida ya kupata mtoto nimetembea na wasichana tofauti pasipo hata kusingiziwa mimba,lakini hilo sikuona kama tatizo kutokana na sample za wasichana nilikua nadeal nao,

Sasa tatizo na wasiwasi ni baada ya kuoa binti ambaye sijui niseme ni bahati mbaya au nzuri maana nimemkuta tayari anamtoto,na sasa ni mwaka wa pili na hakuna hata dalili ya mimba,ameshaenda hospital kucheki mirija pmj na maeneo yote yahusuyo uzazi kwa mwanamke na amekutwa yupo sawa,.sasa tatizo direct naona Dr.kalipost kwangu.

Nipo chini yenu naombeni kwa yeyote mwenye uelewa ni hospitali gan yenye vipimo au Dr. mzuri kwa wanaume iliyopo kanda ya ziwa anipe taarifa.

NAWAKILISHA
 
Pole mkuu, mimi ninazo dawa za asili kwa ajili ya uzazi kwa wanaume na wanawake utapona na utapata mtoto na utaleta ushuhuda hapa jf, niandikie kwenye email hii yangu: manoftanzania1@gmail.com tuongee zaidi.
 
Mkuu nachoitaji kwasasa ni vipimo vya kitaalamu alafu ndio nipewe dozi
 
Bugando gharama zake zikoje ukilinganisha na kwa dr.kilonzo mkuu
 
nenda bugando tu dr kilonzo huwa anabei labda kama unatumia bima ya afya na pia hata dr kilonzo akishindwa anakwambia uende bugando sasa ni bora uende bugando tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…