Hospitali wanazoweza kufanya Artificial Insemination Tanzania...

Hospitali wanazoweza kufanya Artificial Insemination Tanzania...

Ramos

JF-Expert Member
Joined
May 13, 2010
Posts
498
Reaction score
130
Naomba kuuliza kama kuna hospitali ambayo huwa wanafanya AI Tanzania... Najua kuna hospitali zinaaminika kwa shughuli hizo Nairobi, lakini kwa mtu kutokea Tanzania ni gharama kubwa sana.

Naomba kama kuna mtu mwenye taarifa tafadhali...
 
Back
Top Bottom