R Ramos JF-Expert Member Joined May 13, 2010 Posts 498 Reaction score 130 Oct 27, 2011 #1 Naomba kuuliza kama kuna hospitali ambayo huwa wanafanya AI Tanzania... Najua kuna hospitali zinaaminika kwa shughuli hizo Nairobi, lakini kwa mtu kutokea Tanzania ni gharama kubwa sana. Naomba kama kuna mtu mwenye taarifa tafadhali...
Naomba kuuliza kama kuna hospitali ambayo huwa wanafanya AI Tanzania... Najua kuna hospitali zinaaminika kwa shughuli hizo Nairobi, lakini kwa mtu kutokea Tanzania ni gharama kubwa sana. Naomba kama kuna mtu mwenye taarifa tafadhali...