DOKEZO Hospitali ya Aga Khan yadaiwa kufunga baadhi ya Vituo vyake Tanzania, Mamia wadaiwa kupoteza Ajira

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Hii habari tangu majuzi imetangazwa kwenye radio na vituo yenyewe ni vitatu: kigamboni, tandale na pengine nimepasahau
 
Kuhudhuliwa na baazi✖️
Kuhudhuriwa na baadhi✔️
Amekili✖️
Amekiri✔️
Waajili✖️
Waajiri✔️
Mwajili✖️
Muajiri✔️
Mwajiliwa✖
Muajiriwa✔️
Kama mtu hawezi kutofautisha "l" na "r" inakuwa ni majanga makubwa. Hawa hawafai kabisa kuandika, wala kuongea publicly. WANAKERA
 
Wana retrench wazawa tu. Ma expatriates wanaokula mishahara mikubwa hawaja guswa. Ni ubaguzi full-time.

watu weusi kila kwenye changamoto upeo wenu huwa unaishia kwenye ubaguzi tu. Sasa ulitaka watimuwe ma expatriates ambao wenye uwezo zaidi na more loyal kwa kampuni muachwe nyinyi muliosoma vyuo uchwara na wenye sura mbili mbili?
 
Anza na mimea kupukutisha majani kipindi cha kiangazi/kipupwe.
 
Sasa asipowapunguza atawalipa nini?
 
Hii inatokana na mambo mengi. Inawezekana wanaidai fedha nyingi sana NHIF lakini hawapati malipo kwa huduma waliyotoa. Hii imelalamikiwa na Mahospitali kadhaa lakini hawapati malipo kwa huduma waliyotoa. Mathalani Hospitali inadai Tshs.400,000,000 lakini Hospitali hiyo inalipwa Tshs.40,000,000. Je hapo Hospitali itaendelea kutoa huduma inayoridhisha?.
 
Ukikuta kile kile kidada kiwaziri kinavyomsifu Samia kwenye kila post kule X , huwezi kuamini walivyoua mfuko wa bima na ndio umepelekea closure hiyo ni mwanzo na wengine watafuata tu tujipe muda.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…