Nilidhani unaweza ukaelewa kwamba hapa ni jukwaa na hakuna mwenye majibu ya moja kwa moja bali maoni, anayeweza kuwa na majibu ni Dr na mgonjwa wake. Jiulize ailyetibiwa guest ni mfanyakazi wa wizara ya afya, aliyekuwa anamtibu ni Dr ambaye pia ni mwajiliwa wizara afya. Hebu tafakari kidogo alafu rudia kusoma post yangu utaelewa kitu