#COVID19 Hospitali ya Amana na usumbufu wa mtandao kwenye chanjo ya UVIKO-19

MKEHA

JF-Expert Member
Joined
Jan 26, 2013
Posts
716
Reaction score
1,143
Sijui ni leo tu au siku zote. Sijui ni Amana tu ama na kwingineko. Kupata chanjo inakubidi uwe na subra. Toka saa tano nipo hapa mpaka muda huu saa nane na dakika ishirini bado sijachanjwa.

Na wahudumu siwaoni sijui wameenda kula.

Gwajima wawili kila mtu akivutia kwake wengine tumeamua kuchanja. Lakini ninacho kiona hapa kinakatisha tamaa sana.
 
hata ukae mpaka kesho unastahili aliyekutuma kuchanja nani
 
Sijui ni leo tu au siku zote. Sijui ni Amana tu ama na kwingineko. Kupata chanjo inakubidi uwe na subra. Toka saa tano nipo hapa mpaka muda huu saa nane na dakika ishirini bado sijachanjwa.

Na wahudumu siwaoni sijui wameenda kula.

Gwajima wawili kila mtu akivutia kwake wengine tumeamua kuchanja. Lakini ninacho kiona hapa kinakatisha tamaa sana.
Pole sana Ndugu, tatizo lililopo kwenye hii Nji ni kwamba hatupo Serious.
 
Back
Top Bottom