Hospitali ya Bugando yataka wanaoingia na kutoka hospitalini kuacha Barakoa zao getini wanapoondoka

Hospitali ya Bugando yataka wanaoingia na kutoka hospitalini kuacha Barakoa zao getini wanapoondoka

Tofalizito

JF-Expert Member
Joined
Mar 28, 2020
Posts
343
Reaction score
1,267
JE TUKIZIRUDISHA WANAPEWA WENGINE JE? TUNACHANGIA BARAKOA?

cloudstv___B_WiHasJion___.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndio akili ya "acting director" anyway labda wanazipasi kabla ya kuwapa wengine.
 
sasa kwa nn urudishe barakoa?

Sent using Jamii Forums mobile app
Hilo swali ndio ulitakiwa kutafutia majibu kabla ya kauweka heading yako hiyo... Wanarudisha hizo barakoa ili kuepuka matumizi mabaya ambapo wamehisi huenda watu wakarudia kuzitumia kutokana na uhaba wake au wakazitupa bila kuzingatia kanuni za usafi lakini pia wanataka kuziteketeza kwa kuzingatia kanuni za afya... According to wao
 
Dahhhhh no seriousness kabisa hutatakiwi onewa huruma na mtu yeyote hatufaham kinachoendelea baada ya kutumia izo barakoa ila ni uchizi zaidi kukuta hospitali bingwa yenye wataalamu wa afya best ....wanakuja na maamuzi kama haya

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Serious? Wakizirudisha wanazipeleka wapi au watagawiwa wengine tena?
Ni utaratibu mzuri sana, kwani si kila mmoja anauwezo wa kununua. Pia mtu akiondoka nayo inaweza kuwa na maambukizi hivyo mtaani inaweza ikasambaza zaidi ugonjwa, ni bora ikibaki wao wana i dispose na wanafahamu how.
 
Back
Top Bottom