Hapana wewe ndiye chizi na hayawani. Walichokifanya Bugando ni sahihi, wamefanya risk analysis. Barakoa ni chanzo cha maambukizi kisipowekwa vizuri, mwingine anaweza ichukua akaitumia hata mwezi tena kila siku wakati ni kwa 3-8 hours only. Sasa ewe chizi hutaelewa kwa sababu huna akili.Dahhhhh no seriousness kabisa hutatakiwi onewa huruma na mtu yeyote hatufaham kinachoendelea baada ya kutumia izo barakoa ila ni uchizi zaidi kukuta hospitali bingwa yenye wataalamu wa afya best ....wanakuja na maamuzi yakihayawani kama haya
Sent using Jamii Forums mobile app
Tatizo uelewa na matumizi ni mdogo kwa watu wengi. Mwingine anaweza kutunga nayo kwa hata mwezi, tena ikasababisha madhara makubwa. Kikubwa handling ya barakoa ni ngumu inahitaji umakini.
Yah ni muhimu kueleza watu waeleweKama ni hivyo sawa. Walitakiwa wafafanue.
Tafuta ukweli kabla ya kudhihaki. BMC wanaingia watu wengi kutoka sehemu mbali mbali. Kama barakoa yako imenasa ugonjwa ni rahisi kuiteketeza kuliko kukuachia, uende kusambaza mtaani.Dahhhhh no seriousness kabisa hutatakiwi onewa huruma na mtu yeyote hatufaham kinachoendelea baada ya kutumia izo barakoa ila ni uchizi zaidi kukuta hospitali bingwa yenye wataalamu wa afya best ....wanakuja na maamuzi yakihayawani kama haya
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwel ww ni mzee wa kale kabisa, hujasoma hata huyo attachment mkuu, sasa mtoa mada kaleta uongo Gan , hii Nchi Ina watu Wa hovyo Sana aisee, kila kitu kupindisha tuu, sasa ww toa jibu kwa nn MTU arudishe barakoa?Umejaribu kutafuta jibu la kwanini zinarudishwa au umekuja na mawazo yako tu ambayo bila shaka hayana ukweli
basi wangeamrisha tu asiye na barakoa aruhusiwi kila mtu angejua pakuipata sio unipe kisha urudisheElewa ndg. Swali lingejuwa, Kwa nn huyo mwananchi asiwe na barakoa yake toka nyumbani?
Hiyo attachment haijaeleza sababu ila uongozi wa hospitali umeeleza sababu ya kufanya hivyo... Using'ang'anie attachment tu kuna maelezo ya ziada wameyatoa mzee... Utu uzima dawaKwel ww ni mzee wa kale kabisa, hujasoma hata huyo attachment mkuu, sasa mtoa mada kaleta uongo Gan , hii Nchi Ina watu Wa hovyo Sana aisee, kila kitu kupindisha tuu, sasa ww toa jibu kwa nn MTU arudishe barakoa?
Sent using Jamii Forums mobile app
Wabongo hamkosi Maneno. Mnasaidiwa barakoa getini mjilinde bado mnachongabasi wangeamrisha tu asiye na barakoa aruhusiwi kila mtu angejua pakuipata sio unipe kisha urudishe
Sent using Jamii Forums mobile app
Ukijua sababu iliyowapelekea wafanye hivyo, utajikuta wewe ndio hayawani mkuu... Pole sanaDahhhhh no seriousness kabisa hutatakiwi onewa huruma na mtu yeyote hatufaham kinachoendelea baada ya kutumia izo barakoa ila ni uchizi zaidi kukuta hospitali bingwa yenye wataalamu wa afya best ....wanakuja na maamuzi kama haya
Sent using Jamii Forums mobile app
Simply wanataka wazidispose, wanajua mkirudi nazo majumbani mtarudia kuzivaa, Umeelewa?
ewaaaaaa bila shaka shuleni ulipata A ya kiswahilineno kurudisha inamaana zitatumika tena.labda wangeandika unatupa kwenye dust been hapo getini.
au wasingeandika kabisa neno kurudisha.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama ni zile surgical masks inawezekana wanataka wawe wanazidispose wenyewe kwa usalama Zaidi.Serious? Wakizirudisha wanazipeleka wapi au watagawiwa wengine tena?
Kwel ww ni mzee wa kale kabisa, hujasoma hata huyo attachment mkuu, sasa mtoa mada kaleta uongo Gan , hii Nchi Ina watu Wa hovyo Sana aisee, kila kitu kupindisha tuu, sasa ww toa jibu kwa nn MTU arudishe barakoa?
Sent using Jamii Forums mobile app
Hii kali, yaani unapewa, unaingia nayo kisha ukitoka unaiacha getini, maana yake ziko kwenye circulation!
Sent using Jamii Forums mobile app