johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Ni kwamba usipeleke maambukizi mitaani bwashee!Hawa watu wa Bugando sijawaelewa Hizi barakoa hawataki mtu aondoke nazo kwa Nini. Je zitatumika Mara mbili.
Soma hiyoooView attachment 1429983
Labda hivyo.Ni kwamba usipeleke maambukizi mitaani bwashee!
Hawa watu wa Bugando sijawaelewa Hizi barakoa hawataki mtu aondoke nazo kwa Nini. Je zitatumika Mara mbili.
Soma hiyoooView attachment 1429983
Walitoa hilo tangazo, lakini baada ya malalamishi wakabadilisha. Sasa kikozi kazi kilichofunguliwa na baraka za jiwe wakiamua kukubebesha makosa watakuminya naniii tu na kusema unapotosha umma...watch itView attachment 1429992
Yohana hata Usa nimeona hii system inatumika kwa ajili ya upungufu wanazidisinfect na mitambo. Nafikiri hapo Bugando utakuwepo.Ni kwamba usipeleke maambukizi mitaani bwashee!
Nashangaa watu wanabeza njia ya kwanza wakati ndo ipo poa zaidiBora hiyo ya awali ya kuzirejesha getini ili zikatiwe kiberiti, humo hospitalini kuna uwezekano mkubwa hiyo barakoa itakua imesheheni kirusi na ukitoka nje ya geti na kwenda na hiyo barakoa mtaani ni hatari sana.
Ni kwamba usipeleke maambukizi mitaani bwashee!
Aibu kubwa sana !
Sent using Jamii Forums mobile app