Superbug JF-Expert Member Joined Jan 31, 2018 Posts 13,864 Reaction score 35,079 Jan 14, 2021 #1 Walioko huko Morogoro Turiani wilaya ya Mvomero watuthibitishie hii taarifa ya wafanyakazi wa hospitali hiyo wapatao 60 wamepunguzwa kazini. Poleni sana ukiwa mfanyakazi unaisoma namba ukiondolewa kazini unaisoma namba mara laki tano. Mitano Tena.
Walioko huko Morogoro Turiani wilaya ya Mvomero watuthibitishie hii taarifa ya wafanyakazi wa hospitali hiyo wapatao 60 wamepunguzwa kazini. Poleni sana ukiwa mfanyakazi unaisoma namba ukiondolewa kazini unaisoma namba mara laki tano. Mitano Tena.
Shamkware JF-Expert Member Joined Nov 25, 2013 Posts 1,750 Reaction score 2,283 Jan 14, 2021 #2 Hospital hiyo ni ya Private au ya serikali kwanza tuanzie hapo..
Superbug JF-Expert Member Joined Jan 31, 2018 Posts 13,864 Reaction score 35,079 Jan 14, 2021 Thread starter #3 Shamkware said: Hospital hiyo ni ya Private au ya serikali kwanza tuanzie hapo.. Click to expand... Nadhani ni ya kanisa katoliki lakini sababu ni zipi? Je ni huu mdororo wa uchumi?
Shamkware said: Hospital hiyo ni ya Private au ya serikali kwanza tuanzie hapo.. Click to expand... Nadhani ni ya kanisa katoliki lakini sababu ni zipi? Je ni huu mdororo wa uchumi?
Ncha Kali JF-Expert Member Joined Sep 19, 2019 Posts 15,335 Reaction score 29,114 Jan 14, 2021 #4 Wagonjwa wanapona kwa maombezi, hospitali zinakosa wateja... so obviously!
B brazaj JF-Expert Member Joined Jul 26, 2016 Posts 31,698 Reaction score 41,733 Jan 14, 2021 #5 Taisho fuyaki said: Na Nadhani ni ya kanisa katoliki lakini sababu ni zipi? Je ni huu mdororo wa uchumi? Click to expand... Sababu kuu ni mitano zaidi. Haiwezi kuwa bure. Bambikizi za kodi zimefungisha baadhi ya biashara pia.
Taisho fuyaki said: Na Nadhani ni ya kanisa katoliki lakini sababu ni zipi? Je ni huu mdororo wa uchumi? Click to expand... Sababu kuu ni mitano zaidi. Haiwezi kuwa bure. Bambikizi za kodi zimefungisha baadhi ya biashara pia.
S Statistics JF-Expert Member Joined Sep 22, 2013 Posts 3,666 Reaction score 7,788 Jan 14, 2021 #6 Walikiwa chadema hao, 5 tena