KERO Hospitali ya Rufaa Kitete mkoani Tabora haina vifungashio vya kubebea dawa

KERO Hospitali ya Rufaa Kitete mkoani Tabora haina vifungashio vya kubebea dawa

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
A

Anonymous

Guest
Tunaomba msaada , hospitali ya rufaa ya mkoa wa Tabora haaina huduma ya VIFUNGASHIO kwa ajili ya kubebea dawa, mgonjwa akipewa dawa analazimika kubeba mikononi au kwenye mabox kitu ambacho kinahatarisha dawa kuanguka na kupasuka..!!

Mtu anaweza nunua dawa hadi za elfu 50, lakini akakosa kifungashio cha Tsh. 500. Tukiwauliza wahusika wanasema vifungashio havipo.!!

Tunaomba uongozi ulifanyie kazi imekuwa ni kero kwa wagonjwa.

Majibu ya Uongozi wa Hospitali ~ Hospitali ya Kitete (Tabora) yasema itafanyia kazi changamoto ya kukosekana kwa Vifungashio vya Dawa
 
Back
Top Bottom