muta ngegi
Senior Member
- Sep 7, 2016
- 167
- 129
Habari za mchana Wadau!
Kuna tetesi kuwa Hospitali ya Rufaa ya kanda ya Mkoa wa Mbeya maarufu kama "Rufaa" imeuzuia Mwili wa Marehemu Eliezer Solomon Njole kutolewa Mochwari.
Sababu inaonekana ni kushindwa kulipa deni la Tsh.1,300,000/= anayodaiwa.
Je, kama kuna ukweli mliopo Mbeya tujuzeni. Marehemu yasemekana ni Mzaliwa wa Kijiji cha Kyimo, Kilichopo Wilayani Rungwe Mkoani Mbeya.