muta ngegi
Senior Member
- Sep 7, 2016
- 167
- 129
Habari za mchana Wadau!
Kuna tetesi kuwa Hospitali ya Rufaa ya kanda ya Mkoa wa Mbeya maarufu kama "Rufaa" imeuzuia Mwili wa Marehemu Eliezer Solomon Njole kutolewa Mochwari.
Sababu inaonekana ni kushindwa kulipa deni la Tsh.1,300,000/= anayodaiwa.
Je, kama kuna ukweli mliopo Mbeya tujuzeni.Marehemu yasemekana ni Mzaliwa wa Kijiji cha Kyimo,Kilichopo Wilayani Rungwe Mkoani Rungwe.
waulize ccmMbeya wamenyaza kimya kuhusu hizi tetesi
Mkuu wa mkoa wa Rungwe anaitwa nani vile.Habari za mchana Wadau!
Kuna tetesi kuwa Hospitali ya Rufaa ya kanda ya Mkoa wa Mbeya maarufu kama "Rufaa" imeuzuia Mwili wa Marehemu Eliezer Solomon Njole kutolewa Mochwari.
Sababu inaonekana ni kushindwa kulipa deni la Tsh.1,300,000/= anayodaiwa.
Je, kama kuna ukweli mliopo Mbeya tujuzeni.Marehemu yasemekana ni Mzaliwa wa Kijiji cha Kyimo,Kilichopo Wilayani Rungwe Mkoani Rungwe.
Hashimu RungweMkuu wa mkoa wa Rungwe anaitwa nani vile.
Huo mkoa chini ya mwamba huyo in ubwabwa tu.Hashimu Rungwe
Typing Error Mkuu,ni Wilayani Rungwe Mkoani MbeyaMkuu wa mkoa wa Rungwe anaitwa nani vile.
Hata mbu hawezi kufanya hivi.. Atakunyonya damu wee lakini ukifa hakunyonyi tena! Serikali yetu inashindwa utu na mbu.. Huwezi asilani kuidai maitiHabari za mchana Wadau!
Kuna tetesi kuwa Hospitali ya Rufaa ya kanda ya Mkoa wa Mbeya maarufu kama "Rufaa" imeuzuia Mwili wa Marehemu Eliezer Solomon Njole kutolewa Mochwari.
Sababu inaonekana ni kushindwa kulipa deni la Tsh.1,300,000/= anayodaiwa.
Je, kama kuna ukweli mliopo Mbeya tujuzeni.Marehemu yasemekana ni Mzaliwa wa Kijiji cha Kyimo,Kilichopo Wilayani Rungwe Mkoani Rungwe.
waulize ccm
hizo hospitali ziko chini ya Nan kitawala ccm endelee kulaaniwa kiserikali chake kipeleke ruzuku eneo Hilo mwananchi apunguziwe mzigo ,hivyo tu sahizi utaelewa nilimanisha nn mama daudiKumbe ccm ndiye aliyepost au ccm ndiye aliyekufa?
Nilijua ni mtanzania tuu
hizo hospitali ziko chini ya Nan kitawala ccm endelee kulaaniwa kiserikali chake kipeleke ruzuku eneo Hilo mwananchi apunguziwe mzigo ,hivyo tu sahizi utaelewa nilimanisha nn mama daudi
Hakuna mkoa huo TanzaniaMkuu wa mkoa wa Rungwe anaitwa nani vile.
Rungwe si mkoa ni Wilaya iliyopo mkoani MbeyaMkuu wa mkoa wa Rungwe anaitwa nani vile.