Abdul Mangosongo
New Member
- Sep 8, 2019
- 2
- 3
HOSPITALI YA SOKOINE MKOANI LINDI MADUDU MATUPU
Hospitali ya sokoine ndio hospitali ya mkoa wa lindi
Inasikitisha sana unskilled worker ambae si daktari alimfunga POP ndugu yangu siku zilivyokuwa zinaenda vidole vikaanza kuwa vyeusi ,usiku halali kwa maumivu makali ikabidi nimlete dar kufika dar hospital flani wakaondoa ile POP wakasema mkono umeoza daktari akasema aliefunga mara ya kwanza alikaza sana hakufata kanuni za ufungaji.Mkono ulikua umeoza kabisa ikabidi ukatwe.
Nilirudi lindi kufatilia nmegundua mengi sana yanaendelea kwenye ile hospitali.
Yule aliewekwa apo theater ndogo ili kufanya upasuaji mdogo wa majipu na kufunga POP sio daktari wala mganga ni attendant yaani kitaalamu hatakiwi kutoa matibabu kwa mgonjwa.INASIKITISHA SANA.
Nilipojaribu kupeleleza vizuri nkagundua mambo yako hovyo hovyo pale kama si hospitali ya mkoa.
Nilipata nafasi ya kuongea na nesi mmoja akaniambia mengi sana.
-Watumishi hawana morali ya kufanya kazi wanabaguliwa
wanadai madai sugu , hawalipwi stahiki zao.
-Muhasibu wa hospitali anahusishwa na wizi wa hela mara kwa mara
- hakuna ushirikishwaji juu ya mapato na matumizi ya hospitali.
-Katibu wa hospitali anashiriki kufanya ubadhilifu wa fedha na muhasibu.
- Wagonjwa wakifika wanafukuzwa wanaambiwa wakaanzie vituo vya afya vidogo wanathamini wagonjwa wa bima tu.
-Miundombinu mibovu , vyoo vya wagonjwa vichafu, hakuna dirisha la wazee ,wazee na wasiojiweza wanafukuzwa.
-Huwezi kutofautisha huyu ni daktari au uyu ni nese au huyu ni mfagiaji.
-Watumishi wamejaa kulaumiana na majungu tu.
- kila siku ultrasound wanadai imeharibika ili tu wahinjwa waende kituo cha afya jirani kilichofunguliwa na mtu binafsi kipya.
- kuna wodi flani ya wanaume vifo ni kila siku.
UONGOZI MBOVU SANA PALE
hali hii imesababisha watu wakiuugua waende hospitali za jirani kama ndanda na nyangao.
Naomba serikali iiangalie hospitali hii kwa jicho la tatu.
Naomba watu wanaohusika wachukue hatua watabaini mengi zaidi ya haya.
Hatua zichukuliwe haraka sana kuinusuru hospitali hii.
wadau wa afya na serikali pazeni sauti marekebisho yafanyike.