DOKEZO Hospitali ya St. Joseph Peramiho haitaki kuwalipa wafanyakazi mishahara yao kwa madai kuomba ajira Serikalini bila ridhaa yao

DOKEZO Hospitali ya St. Joseph Peramiho haitaki kuwalipa wafanyakazi mishahara yao kwa madai kuomba ajira Serikalini bila ridhaa yao

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
A

Anonymous

Guest
Wafanyakazi wa Hospitali ya Mtakatifu Joseph Peramiho iliyopo Songea mkoani Ruvuma wakiwemo wauguzi na wafamasia wametishia kuishtaki hospitali hiyo kwa madai ya kutokulipwa mishahara yao ya mwezi mmoja.

Hii inatokana na Hospitali hiyo kudai kuyaona majina ya maombi ya ajira za Serikali zilizotangazwa miezi kadhaa iliyopita.
 
Back
Top Bottom