johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 104,319
- 183,639
Hospitali kuu ya wilaya ya Korogwe ni Makuyuni au Magunga?Hospitali kuu ya wilaya ya Korogwe ( Makuyuni) mkoani Tanga haina Huduma ya umeme...
Mimi Korogwe huwa napita tu bwashee mwezi disemba nikienda Moshi!Hospitali kuu ya wilaya ya Korogwe ni Makuyuni au Magunga?
Korogwe waweke umeme, wachawi wataroga vipi usiku? Pale hata iweje hawawezi weka umeme wale, mnafikiri kwanini Mshana Jr anafanya upuuzi wake wote mikoa yote ya Tanzania na nje ya Tanzania usiku anarudi kulala gizani Korogwe?Hospitali kuu ya wilaya ya Korogwe ( Makuyuni) mkoani Tanga haina Huduma ya umeme...
Magunga imehamishiwa wapiHospitali kuu ya wilaya ya Korogwe ( Makuyuni) mkoani Tanga haina Huduma ya umeme.