Hospitali ya Wilaya ya Kyela mkoani Mbeya inaungua moto

zimamoto wawahi haraka kabla moto haujafika kwenye wodi za wagonjwa
 
sasa acheni kusema ndaga ndaga , mwagieni maji , ndaa !!! ndaaa!! hazitazoma moto
 
Poleni wahanga,ila nimewaza,fire watakuja na gari lenye maji nusu jagi
 
Unaweza ukakuta store ya vifaa vya kuokolea funguo zake hazijulikani zilipo tangu Mtunza store astaaf miaka kadhaa

Sawa na ile story ya panton kuacha funguo za store ya makoti ya kujiokolea ofcn kwa mkuu wa kivuko kisa yanaibiwaga sana
 
Mtu amepumzika anapambana na maumivu yake mara purukushani za kukimbia moto.

Pole sana kwa wagonjwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…