KERO Hospitali yaTaifa ya Muhimbili kweli mmeamua kutuvua nguo kwa kufunga camera kwenye vyoo, hamjui mnaingilia faragha zetu?

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
Ulinzi umeimarishwa kote kote , chooni huwa panaweza kutumika kama sehemu ya kuhifadhi zana za kihalifu..kujibadilisha ili kwenda kufanya uhalifu au kutoka kufanya uhalifu ..kifupi choo kinaeza tumika ndivyo sivyo
 
Kweli serious unaanza kulalamika kisa camera..

Kuna kipi cha kukificha mkuu.
Ushawahi ona video imevuja ya sehemu kama hizo au mnafata mkumbo kupinga vitu bila kua na sababu za msingi.
Ushaambiwa
magonjwa mengi yanatokea chooni....hizo ni jitihada za sisi hemu kupambana na magonjwa
 
Dawa ni kuzingóa tu.Na kwa vile ni karibu ya geti la kutokea unangóa unataambaa chap chap lakini kamera yao waachie hapo hapo chooni si mnajua tena alieshiikwa na nyama ndio mwizi !
Kuingóa ni kuwafundisha kuwa haitakiwi pale
 
😂😂😂😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…