KERO Hospitali yaTaifa ya Muhimbili kweli mmeamua kutuvua nguo kwa kufunga camera kwenye vyoo, hamjui mnaingilia faragha zetu?

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
Umenikumbusha,

Kuna mwamba alikuwa anajichukulia sheria mkononi akiwa chooni huko kwenye nchi za kaiarabu sasa hakujua kama pale kuna camer mara akasikia sauit ikimuonya juu ya akifanyacho
 
Aisee tuna visa sana kila kukicha tunafaya mambo kama tumekatwa vichwa...
 
Yaani unachukuliwa picha unavyokata gogo hhaha
 
Ningekuwa nafanyakz hapo yani ningekuwa nachungulia kila wakati jaman, ninavyopenda kuangalia mimi hadi raha jaman
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…