Hospitali za serekali wanazopima vidonda vya tumbo

Vi rendra

JF-Expert Member
Joined
Sep 11, 2017
Posts
3,271
Reaction score
5,617
Habari za saa hii wapenzi wana jf
ningependa kujulishwa na member wenzangu kuhusu : hospitali gani za serikali (Dar es salaam) wanazopima vidonda vya tumbo
Na garama zake ni kiasi gani?

NB: situmii bima
 
Habari za saa hii wapenzi wana jf
ningependa kujulishwa na member wenzangu kuhusu : hospitali gani za serikali (Dar es salaam) wanazopima vidonda vya tumbo
Na garama zake ni kiasi gani?

NB: situmii bima
Nenda Mnazi Mmoja, au Malawi Hospital iko Yombo Dovya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…