Hospitali za Serikali Wanatoa Huduma Jumamosi?

Hospitali za Serikali Wanatoa Huduma Jumamosi?

Kelela

Senior Member
Joined
Nov 7, 2020
Posts
191
Reaction score
308
Hospitali za Serikali Wanatoa Huduma Jumamosi kwa wagonjwa wa kawaida (OPD)?

Kama Jibu ni Ndio, Ratiba ikoje? yani kuanzia saa ngapi hadi ngapi?

Natanguliza shukran!
 
Hospitali za Serikali Wanatoa Huduma Jumamosi kwa wagonjwa wa kawaida (OPD)?

Kama Jibu ni Ndio, Ratiba ikoje? yani kuanzia saa ngapi hadi ngapi?

Natanguliza shukran!
Nenda kesho ndiyo utapata jibu la swali lako.
 
Kwani Magonjwa yana weekend ?

Kama hawatoi huduma basi wawajibishwe kwa kuchezea kodi zetu
 
Back
Top Bottom