Kelela Senior Member Joined Nov 7, 2020 Posts 191 Reaction score 308 Aug 20, 2021 #1 Hospitali za Serikali Wanatoa Huduma Jumamosi kwa wagonjwa wa kawaida (OPD)? Kama Jibu ni Ndio, Ratiba ikoje? yani kuanzia saa ngapi hadi ngapi? Natanguliza shukran!
Hospitali za Serikali Wanatoa Huduma Jumamosi kwa wagonjwa wa kawaida (OPD)? Kama Jibu ni Ndio, Ratiba ikoje? yani kuanzia saa ngapi hadi ngapi? Natanguliza shukran!
Kichwa Kichafu JF-Expert Member Joined Apr 13, 2017 Posts 44,855 Reaction score 189,385 Aug 20, 2021 #2 Ndio. Huduma zote zipo mkuu japo madaktari huwa wachache sana. Ila huduma zipo kama kawaida.
Midekoo JF-Expert Member Joined Mar 30, 2015 Posts 45,757 Reaction score 246,786 Aug 20, 2021 #3 Zinatolewa km kawaida ila baadhi ya vipimo unaweza kukosa mpk sikubza kazi
mdudu JF-Expert Member Joined Feb 6, 2014 Posts 7,013 Reaction score 10,000 Aug 20, 2021 #4 ndotoyangu said: Hospitali za Serikali Wanatoa Huduma Jumamosi kwa wagonjwa wa kawaida (OPD)? Kama Jibu ni Ndio, Ratiba ikoje? yani kuanzia saa ngapi hadi ngapi? Natanguliza shukran! Click to expand... Nenda kesho ndiyo utapata jibu la swali lako.
ndotoyangu said: Hospitali za Serikali Wanatoa Huduma Jumamosi kwa wagonjwa wa kawaida (OPD)? Kama Jibu ni Ndio, Ratiba ikoje? yani kuanzia saa ngapi hadi ngapi? Natanguliza shukran! Click to expand... Nenda kesho ndiyo utapata jibu la swali lako.
Econometrician JF-Expert Member Joined Oct 25, 2013 Posts 16,879 Reaction score 31,253 Aug 20, 2021 #5 Juma mosi hupati daktari wa kueleweka ,unakutana na intern.
Logikos JF-Expert Member Joined Feb 26, 2014 Posts 15,460 Reaction score 24,233 Aug 20, 2021 #6 Kwani Magonjwa yana weekend ? Kama hawatoi huduma basi wawajibishwe kwa kuchezea kodi zetu
Tate Mkuu JF-Expert Member Joined Jan 24, 2019 Posts 33,092 Reaction score 96,127 Aug 20, 2021 #7 Jibu ni; NDIYO