Na hapo ni makao Makuu ya nchiKama ile hospitali ya Mkoa wa Dodoma kwa jina maarufu General, nahisi ndiyo inaongoza kwa kushutumiwa kutoa huduma mbovu ndani ya Mkoa wa Dodoma.
Halafu ukija Wilaya ya Korogwe, kuna kitu kinaitwa Magunga hospital!! Hawa nao wajitathmini.
Yaani mpaka panadol nasikia wanakuambia ukanunue eti kwenye duka la dawa. Kila mzazi anayeenda kujifungua, analazimishwa kufanyiwa upasuaji!! Na wakati Wasambaa hawajazoea kabisa mambo ya aina hiyo.
Taja majina yako matatu, tufuatilie madai yakoWatumishi wanaenda likizo bila kulipwa hela zao
Hawajapanda madaraja wengine
Mshahara mdogo na hakuna anayewajali
Sasa watafanyaje kazi kwasababu na wao ni binadamu.
General hospital nakubaliNa hapo ni makao Makuu ya nchi
Posho kama zoteGeneral hospital nakubali