Hospitali za Umma Tanzania kutumia rasilimali finyu za Taifa kwenye mambo yasiyo vipaumbele

Mwana wa Kaya

New Member
Joined
Sep 8, 2023
Posts
3
Reaction score
1
Nimesoma kwenye mtandao wa Instagram kwamba Hospitali ya Mloganzira itaanza kuhudumia wanaotaka kuongeza au kupunguza maumbile ya mwili kama matako, matiti nk.

Je, ni sahihi kwa taasisi kama hii kutumia fedha za umma kushughulikia masuala kama haya badala ya kutumia fedha hizi kufanya tafiti za mambo mihimu kwa jamii yote kama vile tafiti za athari za climate change kwenye afya?
 
Ni aibu kwa hospitali kubwa kama Mloganzila, tena ya umma ikitumia raslimali zake kufanya upasuaji wa aina hii. Mpango huu usitishwe mara moja.
 
Cosmetic surgery ndio mpango mzima katika kuiongezea taasisi mapato na faida, lazima mkubali Mloganzila wanatoa huduma pia wanafanya biashara.
 
Kidumu Chama Chetu
 
Watu Wana bills za kulipa
 
Kwenye soko la vinywaji kuna pombe,soda,juisi,maji n.k na Kila bidhaa Ina wateja na watumishi wake!

Pia kwenye tiba kuna bidhaa....wewe 'unapenda' maralia mwingine kalio ndio analolipenda ataenda kutibiwa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…