Hospitality Gani Nzuri ya Meno?

ikigijo

JF-Expert Member
Joined
Aug 23, 2017
Posts
1,839
Reaction score
1,902
Habari wakuu wa afya,
Nimezunguka kwenye hizi General hospital kubwa kubwa ila baada ya miezi 3-6 naenda tena kuziba jino kwenye fizi.
je ni Hospital gani Dental clinic kwa ajili ya Meno tuu hapa Dsm??? hospital nyingi wanabania dawa,Yaani hata kama unatumia bima au cash,
Labda cash sina hakika sanaa,
Ila Nahisi dawa wanazotumia Kuziba Fizi au utaalam wao ni mdogo.
Kuna dada mmoja aliwahi ribiwa jina huu mwaka wa 15Hajawahi rudia tena kuziba!
Alizibwa Huko Arusha hospital ya mission.
 
Dawa nzuri kwa meno Ili yawe imara....

Hakikisha unakula muwa kwa wingi....

Muwa asubuhi!
Muwa mchana!
Muwa jioni!

Na muwa USIKU!! (hii ni kwa jinsia zote)...

Ili kuimarisha afya ya KINYWA CHA CHINI!...
Ni hayo tu!
 

Kwa kuwa upo Dar, nenda AlphaDent, ipo Magomeni Mapipa, jirani na Kituo cha mabasi ya mwendokasi
 
Kuna clinic iko kama unaenda akiba Cormecial Bank head office..inaitwa smile nini sijui...naona wale wako vizuri
 
Nenda pale magomeni usalam kituoni pale pale cha mwendokas kasi pembeni wa utumishi house kuna clinic ipp floor ya tatu inaitwa "OMEGA DENTAL" wako njema sana
 
ABC dental clinic ni zaidi ya kila kitu iko mikocheni B jirani na Fedha Nursery
 
Huenda jino lako halifai kuwepo mpaka sasa, lingepaswa liwe limeng'olewa kitambo lakini kwa kuwa haukuwa tayari kung'olewa hivyo madaktari wamekuwa wanafanya kile unachokitaka ili uridhike tu.
 
Sintokaa nilisahau hili jibu lako ndugu mpaka naingia kaburini nilijua labda we huumwagi ndugu yangu?,,,sina hiana mi nakuombea upate ufumbuzi wa tatizo lako
 

Attachments

  • Screenshot_20230629-011820_Chrome.jpg
    699.6 KB · Views: 92
Mkuu, Nenda Muimbili, jengo la OPD. Kuna Doctor wengi pale wazuri sana. Kuna mwamba anaitwa Dr. F. Kamugisha,respect to him, nilikuwa nasumbuliwa sana na meno ila huyu Dr. Kamugisha ni fundi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…