Hakuna dhambi kubwa huku duniani kama MADHARAU
na hilo jibu lako linadhihirisha ni kwa kiasi gani ulivyo limbukeni
kamuulize jata raisi wako kati ya sector zinazotegemewa ktk pesa za kigeni nadhani atakuambia
ushawahi kujiuliza hata siku moja Mbuga za wanyama, game reserve mahoteli ni watu wa namna gani wanazihudumia
unataarifa kwamba Shefs in five star hotel, mshahara wanaolipwa ni mkubwa kuliko wawanasiasa, wachumi, wahandisi. ushawahi jiuliza bongo tuna international shefs wangapi?
Ndio maana hili linchi haliendelei kutokana na mijitu kama nyie mliotawaliwa na mawazo mgando